Atomer og molekyler// Atomi na molekuli

Ill:NAFOHaya ni maandishi kuhusu atomi na molekuli.
Somo linawafaa wanafunzi wa darasa la 5 hadi la 7. Kwa upande wa kushoto chini kunapatikana andiko hili kwa lugha tofauti. Maandisho yana kurasa tatu yakijumisha michoro. Angalia pia maandiko kuhusu atomi na molekuli kwa lugha tofauti. Unaweza kupata mifano mbalimbali, orodha ya maneno na viungshi.